0:00
NYOTA WETU.
Saddam Hussein aliendelea kukimbia kwa muda wa miezi nane baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani nchini Iraq 🇮🇶 mwaka 2003 wa kuhakikisha unamuondoa madarakani.
Hatimaye alikamatwa karibu na jiji la Tikrit Desemba 13,2003 . Vikosi vya Marekani vilihitaji msaada wa raia mmoja wa Iraq kwa jina la Dkt. Muafaq al-Rubale kumtafuta.
Baada ya miezi kadhaa ya kumtafuta ,Saddam Hussein alipatikana katika chumba cha chini ya ardhi katika nyumba ya shamba karibu na mji wa Tikrit.
Related Posts 📫
MICHEZO
Bao la dakika za lala salama la Jude Bellingham...
WHAT MEN NEED TO KNOW
Intimacy in your marriage will suffer...