0:00

NYOTA WETU.

Taarifa zilizopo ni kuwa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam imemalizana na nyota wake raia wa Burkina Faso šŸ‡§šŸ‡«, Stephanie Aziz Ki juu ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia kwenye viunga vya Jangwani, Kariakoo.

Ikumbukwe mkataba wa Aziz Ki unatamatika mwisho wa msimu huu wa 2023-24 na mpaka sasa ,Stephanie Aziz Ki amefunga jumla ya mabao 9 kwenye michezo 10 ya ligi kuu ya Tanzania bara huku akiwa ni kinara wa mabao.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  TUNDU LISSU AHOFIA USALAMA WAKE ATOA AHADI YA KUWATAJA WANAOMFATILIA
Don't miss out!
Invalid email address

Leave a Reply

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading