SABABU UKRAINE KUSHEREKEA X-MASS DESEMBA 25DiscoverCars.com

0:00

HABARI KUU

Kwa mara ya kwanza baada ya karne moja Nchi ya Ukraine itasheherekea Sikukuu ya Christmas tarehe 25 Desemba mwaka huu tofauti na utaratibu uliozoeleka wa sherehe za Kirusi wa Januari 7 ya kila mwaka.

Ukraine itasheherekea Sikukuu za Christmas kwa mwaka huu kwa kufuata kalenda ya Gregorian ,pamoja na Wakristo wengi Duniani na kuachana na utaratibu wa Urusi ambao huwa wanasheherekea kila ifikapo Januari 7 .

Mnamo Julai mwaka huu Serikali ya Ukraine ilipitisha sheria iliyosainiwa na Rais Volodymyr Zelenskyy ya Mabadiliko ya tarehe hiyo ikilenga kupuuzia utaratibu wa kanisa la Othodoski la Urusi ,ambalo linafuata kalenda ya Julian.

Nchini Ukraine, Wakiristo ni wengi pamoja na kuwa made madhehebu ya Othodoski yamekuwa ni ya muda mrefu nchini humo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Shan George faces criticism as she urges...
CELEBRITIES Popular Nollywood actress, Shan George comes under fire as...
Read more
MNADA WA HOROHORO KUIFUNGUA TANZANIA
HABARI KUU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema...
Read more
IVANKA WA TRUMP "HAKUMBUKI" ...
NYOTA WETU. Taarifa kutokea Marekani zinaeleza kuwa masaa manne ya...
Read more
TIWA SAVAGE REVEALS SHE BECAME AN ARTIST...
CELEBRITIES Nigerian vocalist Tiwa Savage has revealed that she became...
Read more
28 KILLERS OF MARRIAGE
1 Laziness kills Marriage 2 Suspicion kills Marriage 3 Lack of trust...
Read more
See also  WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA BANGI NA SKANKA

This Post Has One Comment

Leave a Reply