MWAMUZI MWEUSI AONEKANA LIGI KUU YA ENGLAND

0:00

MICHEZO.

Ligi kuu ya England haijawahi kuwa na mwamuzi mweusi tangu ,Uriah Rennie aliyekuwa mwamuzi pekee mweusi katika historia ya mashindano hayo hadi kufikia jana,Desemba 26,2023 ambako mtu mweusi mwingine ameonekana.

Sam Allison

Sam Allison, ambaye alikuwa mwamuzi wa mechi kati ya Sheffield United na Luton Town ,amekuwa mwamuzi pekee mweusi kuchezesha ligi ya England baada ya kupita miaka 15 tangu mwaka 2008,Uriah Rennie alipostaafu .

Bwana Rennie alichezesha michezo mingi kwenye ligi hiyo pendwa kwa takribani misimu 11 na sasa hatua nyingine imepigwa kwa uwepo sasa wa mtu mweusi mwingine Bwana, Sam Allison.

Uriah Rennie

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

IBRAHIM IMORO MBIONI KUTUA TIMU HII YA...
NYOTA WETU Simba SC inakamilisha mazungumzo na beki wa kushoto...
Read more
Denmark name Riemer as Head coach
Brian Riemer will take over as Denmark head coach as...
Read more
KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
6 MATES YOU MUST MARRY!
One of the way your marriage will not add to...
Read more
STEPHANE AZIZ KI ASAINI MKATABA MPYA YANGA...
MICHEZO Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amesaini...
Read more
See also  TFF YATOA UFAFANUZI SABABU ZA MBWANA SAMATTA KUTOITWA TAIFA STARS

Leave a Reply