MPINZANI NCHINI CHAD ATEULIWA KUWA WAZIRI MKUU

0:00

HABARI KUU.

Rais wa mpito nchini Chad 🇹🇩, Mahamat idriss Deby Itno amemteua aliyekuwa kiongozi wa upinzani, Success Masra kuwa Waziri Mkuu atakayehudumu katika kipindi cha utawala wa kiraia katika taifa hilo ambalo limekuwa katika utawala wa kijeshi tangu Aprili 2021.

Masra ambaye alirejea nchini humo kutoka uhamishoni mnamo Novemba 2023 baada ya makubaliano ya maridhiano alikuwa akipinga utawala wa kijeshi uliotwaa madaraka baada ya kifo cha Rais Idris Deby Itno ,aliyeongoza taifa hilo kwa takribani miaka 30.

Success Masra

Hata hivyo, inaelezwa kuwa vyama vingine vya upinzani vimeonesha kutokubaliana na hatua ya uteuzi huo na kudai kuwa uteuzi wa Masra kujiunga na Serikali ya mpito atakuwa amekubaliana na uvunjwaji haki ikiwemo mauaji ya raia walioandamana kupinga utawala wa kijeshi.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Not going to Chelsea: Jose Mourinho will...
Next week, Jose Mourinho will have to hold new negotiations...
Read more
KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?
WASHINGTON Mahakama Kuu ya Marekani imeamua kwamba Donald Trump hawezi kushtakiwa...
Read more
Stranded Nigeria team boycott Libya qualifier in...
Nigeria have pulled out of their Africa Cup of Nations...
Read more
Matumizi ya jeshi yanavyo ongezeka Duniani
HABARI KUU Matumizi ya kijeshi Duniani yameongezeka kwa asilimia 7...
Read more
See also  AFRIKA KUSINI YAANZA VITA DHIDI YA UJANGILI WA FARU

Leave a Reply