NAMNA YA KURUDISHA FURAHA KWENYE NDOA

0:00

MAPENZI

Kusema la ukweli, huwa kuna muda wanandoa wanachokana jambo ambalo ni la kawaida kulishuhudia.

Sasa ikitokea au kabla ya kutokea chochote haya ni mambo ya kuzingatia:-

1. Usiwe mtu wa kuongea kumaliza.

Kumtusi mwenza wako matusi ya nguoni yaweza kutengeneza hasira zisizoisha.

2. Kuwa mtu wa kuomba msamaha.

Dharau zinatia kinyongo moyo lakini kujishusha na kuomba msamaha kunatia faraja kwa wawili wapendanao.

3. Usijifanye umezeeka.

Kuwa mtu ambaye unatoka na kuwa karibu na familia yako ,cheza na watoto wenu usikae na kujiona kwamba huwezi kucheza na watoto wenu.

4. Ishi maisha ya kumpendeza Mungu.

Maisha haya huwa yanakupa hofu na pia ni maisha yaliyojaa huruma na upendo.

5. Usiwe karibu na watu wenye mawazo hasi juu ya ndoa.

Watu ambao hawana ndoa ni watu hatari zaidi.

6. Muwe na mazungumzo nje ya majukumu.

Ni vema kukumbushana majukumu ya kifamilia lakini sio muda wote,mnatakiwa kuongea hata mambo mengine kama siasa na mpira. Muda mwingi ukitumika kwa ajili ya kukumbushana majukumu huwa unaleta kero kwenye mazungumzo.

7. Jiepushe kutenda makosa ya mara kwa mara

8. Fanya mapenzi mara nyingi Kadri unavyoweza.

Tendo ili linapaswa kufanyika kama chanzo cha furaha pia.

9. Kusafiri sehemu mbalimbali.

Safarini mtaona mambo mapya na mtajifunza kuishi vizuri pia.

10. Ucheshi na utani kwa mwenza wako liwe ni jambo la kawaida.

11. Uwe ni mtu wa toba mbele za MUNGU.

Toba itakuweka karibu na MUNGU, maombi yako yatajibiwa kwasababu ya mawasiliano mazuri na MUNGU wako.

12. Usiwe muoga hasa kwa mambo ambayo yako nje ya uwezo wako. Kujiuliza utaishije? Itakuaje?

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

See also  MAMBO MANNE YANAYOHARIBU MAHUSIANO

Related Posts 📫

LADY JAYDEE NI DARASA TOSHA KWANGU
NYOTA WETU Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince amesema ...
Read more
EFFECTIVE COMMUNICATION IN RELATIONSHIPS
Effective communication is the cornerstone of any successful relationship, whether...
Read more
PAPA FRANCIS HAPOI KWA TANZANIA
HABARI KUU. Kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Duniani, Papa Francisco...
Read more
WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC
HABARI KUU Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi...
Read more
Bosnia fight back to hold second string...
ZENICA, Bosnia-Herzegovina, - Bosnia fought back to claim only their...
Read more

Leave a Reply