TABIA 10 ZINAZOFANYA WANANDOA KUISHI KWENYE NDOA KWA MUDA MREFU

0:00

MAPENZI

Kuzeeshana kwenye ndoa ni jambo ambalo kila mwanandoa analitamani lakini wengi hawafahamu namna ya kufika huko. Sasa haya mambo yanaweza kumsaidia kila mwenye Ndoa,

1. MAWASILIANO YA WAZI .

Mafanikio makubwa kwenye Ndoa ni uwazi na kuheshimu mawasiliano. Zingatia sana kuweka mambo yako kwa mwenza wako hasa hisia zako bila kificho na pia msikilize mwenzako. Mnaweza kuwa katika umri tofauti, makuzi na malezi ya tofauti na pia hisia zenu zikawa tofauti lakini unapofunguka basi ni rahisi mwenzako kukuelewa .

2. WEKA MUDA MZURI KWAAJILI YA MWENZAKO .

Hata kama mnafanya kazi ofisi moja haimaanishi muda huo ni toshelevu, tenga muda zaidi sio muda pekee wa kulala wote usiku. Muda wa utulivu na kujadili na kurudisha hisia zenu ndio muda ulio bora kwenye ndoa.

3. KUWA MTU WA SHUKRANI.

Ni vizuri kumshukru mwenza wako na kumpa thamani yake kwaajili ya maisha yako. Mwanamke au Mwanaume akikubali kuishi na wewe anakupa thamani kubwa,mwanzo ulikuwa pekee na sasa mpo wawili na pia kama ulikuwa huna watoto, yeye ndio anasababisha wewe uitwe mama au baba. Mshukru sio tu kwa maneno na hata vitendo pia.

4. KUWA MTU WA KUMSAIDIA MWENZAKO.

Wanandoa ni mwili mmoja,kwahiyo basi wakati wa changamoto za mwenza wako ni vizuri kuwa karibu nae. Mwanamke au Mwanaume hatakiwi kujiona yuko pekee kwenye magumu ya maisha wakati nyinyi ni wanandoa.

5. NENDA NA MABADILIKO.

Mwanamke anapojifungua basi huwa anapitia mabadiliko ya mwonekano wa mwili na pia mwanaume nae huwa anabadilika katika uwezo wake hasa kwenye tendo la ndoa. Mnapokuwa pamoja ni vizuri kuyakubali kuwa mwanamke akijifungua hatakuwa binti tena kwa mwonekano.

6. PALILIA MAMBO AMBAYO NYOTE MNAENDANA.

Tafuta mambo ambayo nyote mnayafurahia mkiwa wote na yaweke kuwa kichocheo cha nyinyi kwenda mbele zaidi kwenye mahusiano yenu. Mambo ambayo yanawapa kuelewana kihisia ni motisha tosha kwenye mahusiano yenu.

7. FANYA MAPENZI.

Hata mkiwa na miaka 50 kwenye ndoa sio mbaya kuendelea kufanya mapenzi au kumpa hamasa mwenza wako mshiriki kwenye mahaba. Kumuacha mwenza wako kwasababu ya umri au kumchoka kunaweza kuwafanya nyinyi kama wanandoa kuiacha safari yenu njiani.

8. TUNZA AFYA YAKO.

Afya ni mtaji kwa kila kiumbe kilicho hai. Kula vizuri,fanya mazoezi na weka mpango wa kupima afya yako mara kwa mara. Pale ,mwenza wako anapopata maradhi kama kisukari au Presha na magonjwa mengine basi kwenye ndoa kunakuwa na changamoto.

9. FURAHI NA MWENZAKO.

Pamoja na majukumu na magumu mengi ni vizuri kumtania mwenza wako na kumfanya mcheke wote. Mkeo au Mumeo hatakiwi kuishi kijeshi na wewe, kuna muda inatakiwa mcheke na kufurahia maisha yenu.

10. WEKA MIPANGO YA MUDA MREFU.

Mnapokuwa wana ndoa ni vizuri kuweka malengo yenu kama kufahamu ,mkistaafu kìpi mtakifanya au ujenzi wa nyumba yenu ya uzeeni ijengwe wapi na mambo kama hayo? Malengo yamekuwa chachu sana ya kufanya watu kuishi wote muda mrefu na mtu ambaye hana malengo anakuwa hana mvuto kwenye ndoa au mahusiano yoyote.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

See also  Scrappy Arsenal edge 1-0 win over Shakhtar Donetsk

Related Posts 📫

Six (6) darkest manipulation Tactics women used...
Let's get started 1). Emotional Blackmail: Emotional Blackmail is one of...
Read more
Arsenal first pre-season friendly is less than...
Mikel Arteta will hope to add to his squad to...
Read more
13 WAYS TO CORRECT YOUR WIFE WITHOUT...
1: LOWER YOUR VOICEDon't shout at her, she is not...
Read more
Video of Wizkid and his partner Jada...
The couple made heads turn as they attended the event,...
Read more
Kwanini Usajili wa Stephanie Aziz Ki haujakamilika?
Rais wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha...
Read more

This Post Has 80 Comments

  1. kriterii_zhki

    Петля ошибки и путь к истине
    истина это в обществознании [url=https://www.koah.ru/kanke/62.htm]https://www.koah.ru/kanke/62.htm[/url].

  2. Glory Casino: A World of Exclusive Online Casino Games
    glory casino bonus [url=http://www.glorycasino24.online/]http://www.glorycasino24.online/[/url] .

  3. Discover the Best in Online Betting with Jeetwin Casino’s Sportsbook
    jeetwin casino live [url=https://jeetwin.casino]https://jeetwin.casino[/url] .

  4. betandreas_nkSn

    Where Winners Are Made: Tournaments at Betandreas Casino
    betandreas casino bangladesh [url=https://www.betsandreascasino.com]https://www.betsandreascasino.com[/url] .

  5. Play, Win, Repeat: Jeetbuzz Casino – Your Ultimate Gaming Hub
    jeetbuzz casino online [url=http://www.jeetbuzzcasino.org/]http://www.jeetbuzzcasino.org/[/url] .

  6. Navigating Jeetbuzz Casino: Features, Games, Services
    jeetbuzz casino online [url=https://jeetbuzzcasino.net/]https://jeetbuzzcasino.net/[/url] .

  7. pohorony_sbOn

    Выбор агентства по организации похорон: на что обратить внимание
    организация похорон агентство [url=https://www.pohoronnoe-bjuro-444.ru]https://www.pohoronnoe-bjuro-444.ru[/url] .

  8. konditer_zeot

    Мастер-классы кондитеров: станьте профи в приготовлении десертов
    бесплатные курсы кондитера для начинающих [url=https://kursy-konditera-moskva.ru/]https://kursy-konditera-moskva.ru/[/url] .

  9. kursy_seo_uksr

    Как SEO курсы могут улучшить ваш сайт: практическое руководство
    обучение сео [url=http://www.kursy–seo.ru/]http://www.kursy–seo.ru/[/url] .

  10. klining_qksn

    Топ клининговых компаний Москвы: идеальная чистота без усилий
    клининговые компании в москве [url=http://www.kliningovye-kompanii-reiting1.ru]http://www.kliningovye-kompanii-reiting1.ru[/url] .

  11. kursy_seo__xapr

    Курсы SEO: обучающие программы по продвижению сайтов
    курс по seo [url=https://kursy-seo1.ru/]https://kursy-seo1.ru/[/url] .

  12. Получение денег на бизнес через краудлендинг: с чего начать?
    краудлендинг площадки в россии [url=http://kraudlending77.ru/]http://kraudlending77.ru/[/url] .

  13. karkasnye_dtka

    Все, что вам нужно знать о строительстве каркасных домов под ключ в России
    каркасные дома под ключ стоимость [url=http://www.karkasnye-doma-pod-klyuch0.ru/]http://www.karkasnye-doma-pod-klyuch0.ru/[/url] .

  14. Tobiaskak

    Hey there! juniitv.online

    Did you know that it is possible to send business proposal entirely legally compliant? We propose a legitimate method of sending business offers through feedback forms.
    Communication Forms help to ensure that messages sent through them are not treated as spam, as they are seen as important.
    Give our service a go – it won’t cost you a thing!
    Our service can offer up to 50,000 messages for you.

    The cost of sending one million messages is $59.

    This offer is automatically generated.
    Please use the contact details below to get in touch with us.

    Contact us.
    Telegram – https://t.me/FeedbackFormEU
    Skype live:feedbackform2019

    We only use chat for communication.

  15. zaym_qtPr

    Займ без отказа с мгновенным одобрением: начните заявку сейчас
    онлайн займ без отказа займомер рф [url=zaym-na-karty-bez-otkaza.ru]zaym-na-karty-bez-otkaza.ru[/url] .

  16. bezlimit_ijoa

    Безлимитный интернет – это реальность с нашими тарифами
    скрытые тарифы ростелеком [url=https://www.mobilnyj-bezlimitnyj-internet.ru]https://www.mobilnyj-bezlimitnyj-internet.ru[/url] .

  17. Avtoservis_bxoi

    Лучший автосервис в городе
    Автосервис ремонт [url=http://tokyogarage.ru/]http://tokyogarage.ru/[/url].

  18. moyka_okon_bvma

    Гарантированное удаление загрязнений: мытье окон с гарантией
    мойка окон цена [url=https://mytie-okon1.ru]https://mytie-okon1.ru[/url] .

  19. zaym_iqEi

    Займ на карту через Госуслуги: простой способ получить финансовую помощь
    можно ли взять микрозайм через госуслуги https://zajm-cherez-gosuslugi.ru/ .

  20. Глобальный рейтинг отелей: где находятся лучшие из лучших
    топ отелей для отдыха с детьми reitin-otelei.ru .

  21. Срочный вызов сантехника: качество, которому можно доверять
    засор унитаза устранение цена [url=https://www.vyzov-santekhnika-2.ru/prochistit-unitaz]https://www.vyzov-santekhnika-2.ru/prochistit-unitaz[/url] .

  22. Устранение протечек – Профессиональные и надежные услуги сантехника
    механическая чистка канализационных труб [url=vyzov-santekhnika78.ru/ustranenie-zasorov/mehanicheskaya-ochistka-kanalizatsij]vyzov-santekhnika78.ru/ustranenie-zasorov/mehanicheskaya-ochistka-kanalizatsij[/url] .

  23. Вызов сантехника на дом: быстро и без переплат
    засор унитаза устранение цена [url=https://vyzov-santekhnika01.ru/ustranenie-zasorov-unitaza/]https://vyzov-santekhnika01.ru/ustranenie-zasorov-unitaza/[/url] .

  24. klining_tkPa

    Коммерческий клининг Москва: Ваш бизнес заслуживает идеальной чистоты
    заказать клининг [url=https://kliningovaya-companya-v-moskve.ru/]https://kliningovaya-companya-v-moskve.ru/[/url] .

  25. Lesliedaw

    заказать девушку

    Эскорт модели Индивидуалки Москвы, несомненно, являются украшением ночного города. Снять несложно в любом районе столицы, а предлагаемые клиентам интим услуги отличаются доступностью и приличным разнообразием. Элитные проститутки по вызову в Мск позиционируют эротические услуги и секс за деньги, размещая интим объявления на нашем https: //mskvipladies.ru/ Воспользовавшись этим сайтом, любой москвич или гость столицы сможет найти по своему вкусу и кошельку.

    Source:

    заказать девушку

  26. gotovim_yzkt

    Эффективные техники приготовления еды, которые сэкономят ваше время
    рецепты из того что есть в холодильнике http://brkgrp.ru/ .

Leave a Reply