RAIS WA HUNGARY AJIUZULU WADHIFA WAKE

0:00

HABARI KUU

Rais wa Hungary amejiuzulu kutokana na ghadhabu ya raia baada ya kumsamehe mwanaume aliyekutwa na hatia katika kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto.

Rais Katalin Novak alikuwa anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu kwasababu ya uamuzi wake wenye utata wa kumsamehe mwanaume ambaye alipatikana na hatia ya kufanya uhalifu wa kingono kwa watoto kwenye nyumba moja.

Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 46 ametangaza ujumbe huo kupitia Televisheni mnamo Jumamosi Februari 10,2024 kwamba amejiuzulu wadhifa wake wa urais ,baada ya kukaa madarakani toka 2022.

Novak alikuwa ni Rais mdogo zaidi kuwahi kuiongoza Jamhuri hiyo ya Hungary.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

CS Justin Muturi Calls on Kenyans to...
Public Service Cabinet Secretary Justin Muturi has called on Kenyans...
Read more
The Premier League have officially announced the...
The Nike Flight Premier League ball will enjoy its first...
Read more
VERYDARKMAN RELEASED FROM POLICE DETENTION
OUR STAR 🌟 Popular critic, Vincent Otse alias Verydarkman has...
Read more
WILLIAM RUTO KUMUIGA SAMIA KWENYE SOKA ATOA...
MICHEZO Rais William Ruto ameahidi kujitolea kufufua soka la Kenya...
Read more
DIANE RWIGARA AMNYOOSHEA PAUL KAGAME KIDOLE
Diane Rwigara Mwanamke pekee aliyekuwa ameweka nia ya kugombea katika...
Read more
See also  HATIMAYE AMETOKA HOSPITALINI BAADA YA KULAZWA KWA MATIBABU ALIPOKATWA NA KITU CHENYE NCHA KALI NA DADA WA KAZI

Leave a Reply