WAZIRI MKUU WA CONGO LUKONDE AJIUZULU

0:00

HABARI KUU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Jean-Michel Sama Lukonde, amejiuzulu Jumanne Februarai 20,2024 na kusababisha kuvunjwa kwa ofisi yake, ofisi ya Rais ilitangaza katika taarifa kwa vyombo vya habari.

Jean-Michel Sama Lukonde aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hii ya Afrika ya kati yenye utajiri wa madini mnamo Februari 2021. Alikuwa na umri wa miaka 43 wakati huo.

Kujiuzulu kwa Lukonde kutamruhusu Rais Tshisekedi kumteua atakayekaimu nafasi hiyo kwa muda kabla ya uteuzi wa Waziri Mkuu .

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WAZIRI MKUU ETHIOPIA KUZURU TANZANIA
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho...
Read more
ATOKWA NA VIDONDA MWILI MZIMA BAADA YA...
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
Sababu ya kifo cha Director Khalfani Khalmandro
NYOTA WETU Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamnu Muhimbili...
Read more
NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS SAULOS...
Ndege iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Claus...
Read more
WAZIRI MKUU AJIUNGA NA WANAWAKE KUANDAMANA ...
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Iceland Katrin Jakobsdottir ,leo anaungana...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Jinsi Sakata la Rais wa Yanga Hersi Said na Mzee Magoma Lilivyoisha

Leave a Reply