0:00
HABARI KUU
Serikali ya Tanzania imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu, upatikanaji wa sukari na umeme utakuwa wa kutosha kufuatia jitihada ambazo zinafanywa na mamlaka husika.
Wakaazi wa taifa hilo la Afrika mashariki hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na adha kubwa ya kukatika kwa umeme pamoja na uhaba wa bidhaa ya sukari ambayo inatumiwa kwa kiasi kikubwa na kaya nyingi nchini humo.
Hata hivyo kumekuwa na mkururo wa jitihada na ahadi kutoka kwa mamlaka katika kukabiliana na changamoto hiyo ya umeme ambayo imesababisha hasara kubwa miongoni mwa wananchi, ikiwemo kuzorota kwa biashara, kulingana na wafanyabiashara wenyewe.
Related Posts 📫
France and Liverpool defender Ibrahima Konate has become the latest...
Andros Townsend has completed a move to Antalyaspor from Luton...
Former world number seven Richard Gasquet will retire after the...
Nicolas Jackson scored twice to help Chelsea to a third...