0:00
HABARI KUU
Rais wa Senegal, Macky Sall, amesema ataondoka madarakani wakati muhula wake utakapotamatika April 2 mwaka huu, hata hivyo akashindwa kutaja tarehe nyingine ya kufanya uchaguzi.
Kauli yake hata hivyo imepokelewa kwa mshangao na wadau wa uchaguzi waliohoji kwanini hajatangaza tarehe nyingine baada ya kuahirisha uchaguzi uliokuwa ufanyike Jumapili ya wiki hii.
Tayari wanasiasa wa upinzani wamekosoa kauli ya Macky Sall, wakijiandaa kwa maandamano zaidi kushinikiza uchaguzi kufanyika kabla ya muhula wake kutamatika.
Related Posts 📫
Inter Milan secured a 1-0 victory at AS Roma on...
LOVE TIPS ❤
1. Responsibility:Take responsibility for your actions &...
The Portugal midfielder has scored 79 goals and contributed 67...