STAN BOWLES AFARIKI DUNIA

0:00

HABARI KUU

Nyota wa zamani wa QPR, Manchester City na Timu ya Taifa England, Stan Bowles amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75 baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Alzheimer’

Bowles ambaye alikuwa mmoja wa vipaji bora nchini England wakati wake kama mchezaji aligundulika na ugonjwa wa neva mnamo 2015.

Taarifa iliyotolewa kwenye tovuti ya klabu hiyo QPR imesema: “Ni kwa moyo mzito tumegundua kwamba nyota wa QPR Stan Bowles amefariki dunia jioni ya leo (Jumamosi), akiwa na umri wa miaka 75.”

NB: ‘Alzheimer’s’ ni aina ya ugonjwa wa mfumo wa neva ambao kwa kawaida huanza taratibu na hatimaye huathiri kumbukumbu, fikra na tabia.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MWINYI NI CHUO HALISI CHA UONGOZI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more
SIMBU ASHINDA TUZO CHINA
NYOTA WETU. Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Simbu ameshika nafasi ya...
Read more
ASILI YA MAJINA YA MIEZI 12 YA...
MAKALAKila kitu hapa duniani kina ASILI yake inayoelezea safari ya...
Read more
MUME WA RIHANNA AFUNGUKA JUU YA MKE...
NYOTA WETU. ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili...
Read more
The Nigeria Civil Aviation Authority (NCAA) has...
“Based on the order of court over debt issues, their...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kwanini Serikali Imelifunga Kanisa la Kiboko ya Wachawi?

Leave a Reply