0:00
MICHEZO
Liverpool wamefanikiwa kutwaa taji la Carabao baada ya kuizaba Chelsea 1-0 kwa bao la dakika za lala salama kwenye muda wa dakika 30 za ziada.
Nahodha Virgil Van Dijk ndiye aliyepeleka kilio kwa The Blues katika dakika 118 ya mchezo huo.
Taji hilo ni sawa na zawadi kwa kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ambaye ataondoka kwenye klabu hiyo mwishoni mwa msimu
Related Posts 📫
Popular Nigerian filmmaker, Patrick Doyle has claimed that the entertainment...
Dictum fusce ut placerat orci nulla pellentesque dignissim enim...
Bola Tinubu, the ex-governor of Lagos State and the current...
MICHEZO
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili...
The Serb, 37, who is tied with Margaret Court on...