RATIBA KAMILI YA KUAGA NA KUMZIKA ALI HASSAN MWINYI

0:00

HABARI KUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitangaza ratiba ya maziko ya Rais wa mstaafu Ally Hassan Mwinyi itakayoanza leo saa tano na nusu asubuhi kwa mwili kuondoka nyumbani kwake Mikocheni kuelekea Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni ambako Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zuber Bin Ali ataongoza swala ya Ijumaa na taratibu zote za kidini.

“Saa 8:00 Mchana, mwili wa utaelekea Uwanja wa Uhuru na kuanzia saa 8:30 mchana ni dua na maombi kutoka kwa Viongozi wa Dini na salamu za rambirambi kutoka kwa Viongozi mbalimbali, pia Viongozi na Wananchi mbalimbali kutoa heshima za mwisho”

“Saa 11:00 jioni mwili utaondolewa uwanja wa Uhuru kuelekea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, saa 11:30 Jioni Wananchi wa Zanzibar na maeneo mengine ya Unguja wataupokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume” ——— Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.


Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Big blow for Australia as Green to...
MELBOURNE, - Australia all-rounder Cameron Green will miss the home...
Read more
VICTOR OSIMHEN KUIKABILI AFRIKA KUSINI ...
MICHEZO Victor Osimhen amethibitishwa kuwa yuko fiti na huenda akaanza...
Read more
10 SIGNS OF A TRUE GIRLFRIEND 💌🤝💐🌹
True girlfriends are very jealous. If you are dating them,...
Read more
IYANYA REACTS TO CLAIMS HE SLEPT WITH...
OUR STAR 🌟 Famous Nigerian singer, Iyanya blasts online user...
Read more
Ziyad Zolkefli now has in his possession...
The 34-year-old claimed a silver medal for Malaysia at the...
Read more
See also  CHANZO KIKUU CHA TATIZO LA HARUFU MBAYA UKENI NA TIBA YAKE

Leave a Reply