MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

0:00

HABARI KUU

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. January Makamba amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa mara ya kwanza imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF).

Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Mhe. Makamba amesema “Hizi taarifa si za kweli.”

“Taratibu na vigezo vya kiuchumi na kitaasisi vya kufikiwa kwa Umoja wa Fedha (Monetary Union)/Sarafu Moja (Single Currency) kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki bado kukamilika. Mapendekezo ni kufika hatua hiyo mwaka 2031.”—Mhe. Makamba.


JANUARY MAKAMBA
Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

IGNORE THE RUMOURS ZACK ORJI IS ALIVE
OUR STAR 🌟 Nollywood veteran actor, Zack Orji is alive!...
Read more
MAREKANI KUUFUNGIA MTANDAO WA TIKTOK
HABARI KUU Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu...
Read more
NCHI 10 AFRIKA ZENYE IDADI YA WATU...
MAKALA Katika baadhi ya maeneo ya Afrika, watu wanakabiliwa na...
Read more
SAKATA LA MANARA NA RAIS WA TFF...
MAGAZETI Karibu Mtanzania kwenye magazeti ya leo kwenye mbao za...
Read more
HOW TO MAKE YOUR CHICKENS GROW BIG...
Every poultry farmer knows that Buyers want BIG chickens. If you...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Kwanini Mahakama imemfutia Donald Trump mashitaka yanayomkabili?

Leave a Reply