SABABU YA PRINCE DUBE KUOMBA KUONDOKA AZAM FC

0:00

MICHEZO

Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.

Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha miaka miwili na nusu mkataba wake kufikia ukomo.

Azam FC imemjibu Dube (27) kwamba kama anataka kuondoka kama ambavyo amewasilisha ombi lake, klabu haina kipingamizi chochote na imemruhusu kuondoka lakini matakwa ya mkataba yanatakiwa kutekelezwa.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

JELA KWA KUUZA DAWA ZILIZOISHA MUDA WA...
HABARI KUU Wakati serikali ikipiga marufuku biashara holela ya uuzaji...
Read more
DRAW YA CAF, YANGA NA AZAM ZINAWEZA...
-Leo itafanyika draw ya mashindano ya CAF (Champion League na...
Read more
Deputy President Gachagua Reaffirms Commitment to Lamu...
Deputy President Gachagua Reaffirms Commitment to Lamu Security Amid...
Read more
SABABU ZA KIFO CHA MWANAHARAKATI ANNE RWIGARA...
HABARI KUU. Mkosoaji wa Serikali ya Kigali wa muda mrefu,...
Read more
CHANZO CHA KIFO CHA KELVIN KIPTUM ...
MICHEZO Uchunguzi umebaini kuwa Mwanariadha mwenye rekodi ya Dunia mbio...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  BURNA BOY AKATAA KWENDA DUBAI KISA BANGI

Leave a Reply