EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

0:00

HABARI KUU

Marekani imewawekea vikwazo watu tisa 9 nchini Zimbabwe akiwemo Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa, mke wake, Auxillia Mnangagwa, Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga, Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Upelelezi wa Zimbabwe na Patrick Chinamasa Mweka Hazina wa chama cha kisiasa cha Zanu PF.

Pia Marekani imeyawekea vikwazo Makampuni matatu ya kibiashara ya Zimbabwe.

Marekani inawashutumu viongozi hao kuhusika katika ukiukwaji wa haki za binadamu,rushwa,utekaji wa watu na unyanyasaji uliopitiliza.

Vikwazo hivyo ni pamoja na kukamatwa kwa nyumba zao zilizopo kwenye ardhi ya Marekani na kutoruhusiwa kuingia nchini humo.

Hadi kufikia sasa uongozi nchini Zimbabwe haujatangaza kitu chochote kuhusiana na hatua hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

SEAN PAUL HUU 2023 UMEKUWA MWAKA WAKE...
NYOTA WETU Msanii wa Dancehall , Sean Paul ameongoza kwenye...
Read more
National Youth Service Announces Diverse Australian Job...
The National Youth Service (NYS) in Kenya has unveiled a...
Read more
Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea
MICHEZO Licha ya kufungwa mabao 5-0 na Arsenal juzi Jumanne...
Read more
MSIMU UJAO VAR ITAANZA KUTUMIKA KWA BAADHI...
Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) imethibitisha kuwa msimu ujao...
Read more
PELUMI NUBI FINALLY ARRIVES LAGOS AFTER 68...
OUR STAR 🌟 Viral media personality, Pelumi Nubi receives heroic...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  JESHI LA CONGO LATHIBITISHA KUWASHIKILIA WALIOPANGA MAPINDUZI

Leave a Reply