CRISTIANO JR ABEBA TAJI LAKE

0:00

NYOTA WETU

Cristiano Jr ambaye ni Mtoto wa Cristian Ronaldo anayekipiga katika timu ya U-13 ya Al Nassr na nyota wengine wa timu hiyo walilazimika kusubiri hadi jana kukamilika kwa ligi ili kutwaa taji lao la kwanza la Ligi ya Saudia kama mabingwa.

Katika picha zilizopostiwa kwenye mitandao ya kijamii ya Al Nassr, Cristiano Jr alionekana akiinua kombe baada ya kuibuka na ushindi ya huo , Ambapo ikumbukwe kuwa CR7 aliwahi kumtabiria mwanae kufanya vizuri katika maisha yake ya soka. “Mwanangu aliniambia: Baba miaka michache zaidi, nataka kucheza nawe!,”Cristiano Ronaldo alisema katika mahojiano mwaka jana.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  AKILI BANDIA NI HATARI KWA UBINADAMU
Don't miss out!
Invalid email address

By Mujuni Henry

JUNIITV

" class="blockspare-share-linkedin" title="Share on LinkedIn" > Share on LinkedIn

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner                            

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading