0:00
HABARI KUU
Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi ya madai wakimtaka Bosi huyo mpya kuwalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 326 kwa kuwaondoa kazini kikatili.
Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya San Francisco walalamikaji wakiwa ni aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Twitter, Parag Agrawal pamoja na Watendaji wengine watatu wanaodai Elon alivunja haki za Wafanyakazi waliofukuzwa baada ya kuinunua kampuni hiyo.
Taarifa zaidi zinadai hadi kufikia Mwaka 2021, Agrawal alikuwa na madai ya fidia yenye thamani ya zaidi ya takriban Tsh. Bilioni 76.5 kutoka katika kampuni hiyo.
Related Posts 📫
Don’t go to his house unannounced
Don’t ask him for money
Don’t...
Record numbers of basketball fans filled arenas to watch the...
Former England international and Leicester City legend Gary Lineker has...
AFYA
Fangasi ukeni na PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni magonjwa...
NYOTA WETU.
Imefahamika tayari kuwa nyota wa timu ya Taifa...