0:00
HABARI KUU
Kumekuwa na uwepo wa tetesi nyingi kuhusiana na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama kutaka kugombea Urais 2024, Sasa Michelle amekanusha tetesi hizo kupitia ofisi yake siku ya jana Jumanne Machi 5.
Ofisi hiyo imelithibitisha hilo kwa kueleza kuwa Michelle hatogombea Urais kwani kwasasa ameamua kujikita kumuunga mkono Rais Biden katika kampeni zake ili kufanikisha achaguliwe tena.
Uchaguzi nchini Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, na mpaka sasa waliojitokeza kugombea Urais ni pamoja na Joe Biden ambaye yupo madarakani na Donald Trump.
Related Posts 📫
MAKALA
Ajuza wa miaka 73 , Luisa Yu ameweka rekodi ya...
MASTORI
Listi ya mastaa wa Bongo ambao wamejaaliwa kupata watoto...
MAPENZI
Mapenzi sio mwonekano au kipato bali Mapenzi yako kwenye...
Kitui County police have apprehended five individuals, including a police...