NYOTA WETU
Miss Czech Krystyna Pyszko ametangazwa kuwa mshindi wa shindano la ulimbwende la Dunia “Miss world 2024”na kuwashinda warembo 111 kutoka nchi mbalimbali duniani na kuvikwa taji la Miss World 2024 katika shindano lililohitimishwa leo Machi 09, 2024 Huko Mumbai, India
Miss Tanzania Halima Kopwe aliingia kwenye hatua ya warembo 40 bora ya waliokuwa wakiwania taji la hilo Miss World 2024.
Baada ya Round hiyo ilifuata hatua ya 12 Bora, Kisha 8 bora ambapo Waliingia warembo wawili wa kila bara Kutoka Nchi hizi (Brazil, Trinidad, Uganda, India, Lebanon, Czech, UK, Botswana)
Discover more from JUNIITV.ONLINE
Subscribe to get the latest posts sent to your email.