0:00
NYOTA WETU/MICHEZO
Kocha Miguel Gamondi wa Yanga SC amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Februari akimpiku mpinzani wake mkubwa Abdelhak Benchikha, Kocha wa Simba pamoja na Ahmad Ally wa Tanzania Prisons
Tuzo hii inakuwa ni ya pili kwa kocha Gamondi baada ya kutwaa ya mwezi Agosti mwaka jana, Gamondi ameiongoza klabu ya Yanga kwenye michezo mitano ikishinda minne na suluhu moja na kupanda kutoka nafasi ya pili hadi ile ya kwanza kwenye msimamo wa ligi kuu.
Related Posts 📫
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
MICHEZO
Nahodha wa kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania (Taifa...
HABARI KUU
Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
Taarifa za awali zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Malisa...
The English Football Association is investigating allegations that referee David...