RAIS EMMANUEL MACRON KUSAIDIA WATU KUFA

0:00

NYOTA WETU

Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika.

Macron amesema “Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili kibinadamu, lengo letu ni kumpa Mtu uhuru binafsi wa kuamua kuhusu uhai wake baada ya kufikia hatua isiyo na nafuu au kupona”

Endapo Muswada huo utapitishwa, Ufaransa itakuwa nchi ya 10 duniani kuwa na Sheria ya Kusaidiwa Kufa. Nchi nyingine ni Uholanzi, Ubelgiji, Luxembourg, Colombia, Canada, Hispania, NewZealand, Ureno na Ecuador.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Robert Fico apigwa risasi tano
BREAKING NEWS Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, amelazwa hospitalini Jumatano baada...
Read more
BUNGE LA TANZANIA LAKANUSHA MADAI YA MBOWE...
HABARI KUU Bunge la Tanzania limekanusha madai yaliyotolewa na Mwenyekiti...
Read more
PETER MORGAN AFARIKI DUNIA
MICHEZO Mwimbaji Kiongozi wa Bendi ya Reggae iliyoshinda tuzo ya...
Read more
President Bola Tinubu says Africa holds vast...
Speaking at a bilateral meeting on Wednesday in Beijing, China,...
Read more
Hersi Said anavyotembea kwenye kivuli cha Moise...
Rais wa mabingwa wa nchi Young Africans Sports Club Eng...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SUALA LA PACOME NA CAREN SIMBA LIKO HIVI

Leave a Reply