WATU ZAIDI YA 100000 WALIVYOKIMBIA VITA DRC

0:00

HABARI KUU

Wananchi wameendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayoendelea kutekelezwa na waasi wa M23, Mashariki mwa DRC.

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu (Ocha), inakadiria zaidi ya watu 100,000 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano yanayoendelea katika eneo la Rutshuru tangu Ijumatano wiki iliyopita.

Rwanda imekuwa ikinyoshewa kidole kwa kuwafadhili waasi wa M23 licha ya Kigali kukanusha taarifa hizo huku ikiziita kama kuchafua jina la nchi na uongozi kwa ujumla.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MFAHAMU SAULOS KLAUS CHILIMA ALIYEFARIKI KWA AJALI...
Zimepita wiki mbili tangu aliyekuwa Rais wa Iran "Ibrahim Raisi"...
Read more
MAZISHI YA KIHISTORIA YA RAIS HAGE GEINGOB
HABARI KUU Hatimaye aliyekuwa rais wa Namibia, Hage Geingob ambaye...
Read more
President Bola Tinubu says Africa holds vast...
Speaking at a bilateral meeting on Wednesday in Beijing, China,...
Read more
RADJA NAINGGOLAN AFUNGUKA KUIKATAA CHELSEA NA JUVENTUS...
Michezo Nyota wa Zamani wa AS Roma aliyewahi kutakiwa sana...
Read more
KENYA YAOMBA DAWA ZA KIFUA KUTOKA TANZANIA
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  ALIYEKUA MKUU WA MKOA AKAMATWA KWA KUMLAWITI MSICHANA

Leave a Reply