PICHA YA DIAMOND NA HARMONIZE WAKISALIMIANA BAADA YA MUDA

0:00

NYOTA WETU



Baada ya miaka kadhaa toka Staa wa Bongofleva Harmonize aondoke Lebo ya Wasafi (WCB) yake Diamond Platnumz hawajawahi kukutana kwa karibu lakini hii leo katika hafla fupi ya kupata Futari iliyoandaliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Dar es Salaam wakali hawa wamekutana na kushikana mikono kusalimiana hii ni ishara tosha kuwa hakuna noma tena kati yao.

Kwenye picha wakiwa na mtangazaji mkongwa wa vipindi vya michezo Tanzania Maulid Kitenge ambaye ni mfanyakazi wa Radio ya Diamond Platinumz ya WASAFI FM.


Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA
Don't miss out!
Invalid email address