0:00
NYOTA WETU
Muigizaji mtanashati kutoka Marekani Michael B Jordan amefunguka kuhusu kujisikia mpweke huku akieleza anachotaka katika uhusiano wake ujao wa kimapenzi.
Kulingana alichokisema kwenye podikasti “On Purpose With Jay Shetty,” mwigizaji huyo mwenye umri wa miaka 37, amesema wazi kuwa anapitia “upweke” na kuhisi kutengwa kwa sababu ya kazi yake na umaarufu alionao.
Aidha Jordan ameeleza kutotaka kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sasa. “Ninarudi kutaka mahusiano bila kujua ni mpenzi gani bora kwangu,” alisema.
Sehemu ya changamoto ya Jordan kulingana na yeye ni mtazamo wake wa pekee katika kazi yake, ambayo inaathiri maisha yake yote na sio tu uchumba.
Ikumbukwe kuwa Jordan alipewa jina la People’s Sexiest Man Alive 2022 [Mwanaume anayevutia zaidi kwa mwaka 2020] na kuhusihwa kutoka kimapenzi na Lori Harvey kwa mwaka huo huo lakini baadaye walitengana mnamo Juni 2022.
Related Posts đź“«
Renowned musician Innocent Idibia, famously known as 2baba, has been...
The Department of State Services (DSS), has issued a stern...
World No. 6 Coco Gauff and coach Brad Gilbert are...
SPORTS
Above anything else, Chelsea are said to be prioritising...