0:00
HABARI KUU
Bunge la Marekani limepitisha Muswada wa Sheria itakayoruhusu kufungiwa kwa TikTok, mtandao wenye Watumiaji Wamarekani takriban Milioni 170, kama haitatengana umiliki wake na kampuni ya Byte Dance yenye asili ya China.
Wakitoa maoni ya kupitisha Muswada huo, Wabunge wamesema TikTok inahatarisha Usalama wa Nchi kwasababu China inaweza kuitumia Byte Dance kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Marekani na Taarifa Binafsi za Watumiaji.
Utekelezaji wa hatua hiyo utasubiri Kura za Bunge la Seneti ambalo kama litapitisha maamuzi hayo, TikTok itakuwa na Miezi 5 tu ya kujitenga na Byte Dance, vinginevyo itaondolewa rasmi kwenye soko la Marekani
Related Posts 📫
The State House is now warning that its operations could...
Not because he's the most followed person on TikTok with...
HABARI KUU
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha...
NYOTA WETU
Sergio Ramos alimkabidhi Shakira tuzo usiku wa jana,Novemba 17...