SABABU ZA MAMELODI SUNDOWNS KUWA TISHIO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0:00

MICHEZO

Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ndiyo wapinzani wa Yanga SC kwenye Hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Sundowns mpaka sasa ndiye kinara kwenye msimamo wa ligi kuu ya nchini humo akiwa amecheza michezo 18, ameshinda 14, sare nne, hajapoteza mchezo na amekusanya alama 46 pia amewazidi alama 13 na ‘anaviporo’ viwili wapinzani wake kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Tuangalie takwimu zake za jumla katika michuano yote anayoshiriki msimu huu ikiwemo ligi kuu, Sundowns pia wameshiriki MTN8 Cup, Nedbank Cup na Ligi ya Mabingwa Afrika na kutika mashindano hayo wamecheza michezo 25, wamefungwa mechi 4, sare 7 na wameshinda mechi 14.

Mamelodi Sundowns sasa wanatarajia kutua nchini kwaajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza dhidi ya Yanga SC kwenye CAFCL na mara ya mwisho wawili hawa walikutana Jumapili ya tarehe 27, May 2001 katika Dimba la CCM Kirumba Mwanza na matokeo yalikuwa sare ya 3-3.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Sabalenka to end year as number one...
Coco Gauff beat defending champion Iga Swiatek 6-3 6-4 at...
Read more
Van Nistelrooy looks to lift Leicester spirits
Newly-appointed manager Ruud van Nistelrooy is aiming to bring a...
Read more
"All I want is my BTC worth...
OUR STAR 🌟 "All I want is my BTC worth...
Read more
"THERE'S SOMEBODY IN POWER THAT IS DATING...
LOVE ❤ Bobrisky power man dating verydarkmanPopular activist, Verydarkman debunks...
Read more
"I WAS BORN FOR PEOPLE TO LOOK...
OUR STAR 🌟 Popular reality star, Doyin brags about her...
Read more
See also  Argentina yatinga nusu fainali licha ya Lionel Messi kukosa penalti

Leave a Reply