KOREA KASKAZINI YAWEKA SHERIA YA ULAJI NYAMA YA MBWA

0:00

Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake imetakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake kwa matumizi ya viwandani.

Chanzo kimoja kikizungumza na Daily NK kiliorodhesha makosa ambayo mmiliki wa mbwa anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria, Ambapo makosa hayo ni ufugaji mbwa kama mwanafamilia.

“Kumfanya mbwa kama sehemu ya familia, kula na kulala naye kwenye familia ni kinyume na maelekezo ya serikali na kinatakiwa kuepukwa na haiendani na mtindo wa maisha wa ujamaa kabisa.” alisema mtoa taarifa.

Makosa mengine yaliyoorodheswa ni pamoja na kumvalisha mbwa nguo kama ambavyo baadhi ya watu mashuhuri duniani wamekuwa wakifanya kwa mbwa wao.

Hatua hii ya kiongozi Kim Jong Un Rais wa nchini humo inaonekana kulenga kuusaidia umma kwenye hali mbaya ya kiuchumi pamoja na uhaba wa chakula nchini humo.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Morocco is set to raise the bar...
…Will deliver a historic AFCON with a proven track record,...
Read more
DIAMOND ANAUA MZIKI WETU MAKUSUDI
MAKALA -Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukimtazama Sana diamond platnumz...
Read more
Liverpool are reportedly closing in on the...
Liverpool are entering a new era under Slot, who has...
Read more
LUHAGA MPINA kuwaburuza Spika na Bashe Mahakamani
Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina ambaye anatumikia adhabu ya...
Read more
Israel ilivyohusika kwenye kifo cha Rais wa...
HABARI KUU Rais wa Iran Ibrahim Raisi (63), Waziri wa...
Read more
See also  MALAM BACAI SANHA JR AHUKUMIWA MIAKA 6 JELA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Leave a Reply