BURUNDI NA RWANDA ZAINGIA KWENYE VITA YA KIUCHUMI

0:00

HABARI KUU

Serikali ya Burundi imesema Mfanyabiashara atakayekamatwa akiwa anapeleka biashara nchini Rwanda ataadhibiwa kama adui wa nchi.

Hayo yamesema na Mkuu wa Mkoa wa Cibitoke, Careme Bizoza wakati akizungumza na Wakuu wa Wilaya, Madiwani na Wenyeviti wa Mkoa huo unaopakana na Rwanda.

Wananchi wa mkoa huo wamesema kuwa hatua hiyo ni kama kuwafunga mikono nyuma kwani ndipo walipokuwa wanatoa fedha kwa ajili ya kuziendesha familia zao.

Wameutaka uongozi wa Burundi kuifungua mipaka dhidi ya Rwanda iliyofungwa mwanzoni mwa mwaka huu.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

MLOGANZILA YAFANYA UPASUAJI MKUBWA ULIOKITHIRI
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya Novemba...
Read more
TEUZI ZA RAIS SAMIA SULUHU HIVI LEO
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambapo...
Read more
HUU NDIO MKATABA MPYA WA JONAS MKUDE...
MICHEZO Klabu ya Young Africans ipo kwenye mpango wa kumuongezea...
Read more
General Overseer, 65 Arrested For Alleged Defiling...
A 65-year-old pastor, Francis Ogwu, has been handed over to...
Read more
J.T. Poston hangs on to win Shriners...
J.T. Poston had a strong back nine and returned to...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  President Tinubu Gives Finance Minister 48 Hours To Present New Minimum Wage Template

Leave a Reply