NIGER YAVUNJA USHIRIKIANO WA KIJESHI NA MAREKANI

0:00

HABARI KUU

Niger jana imetangaza kuvunja makubaliano ya ushirikiano wa Kijeshi na Merikani, makubaliano yaliyotiwa saini mwaka wa 2012 ikiyaita yasiyokuwa na malengo kwa Niger.

Marekani ina karibu wanajeshi elfu moja nchini humo, pamoja na kituo kikubwa cha Ndege zisizo na rubani huko Agadez.

Katika televisheni ya taifa, Msemaji wa Serikali alituhumu ushirikiano huo usio wa haki na kutokidhi malengo kwa serikali.

Kwa mjibu wa Kanali Meja Amadou Abdramane amesema kuwa makubaliano ya ushirikiano yamekuwa kama maneno tu na kuwafaidisha Wamarekani badala ya Niger huku pia Niamey ikilalamika kutokuwa na taarifa juu ya operesheni za Marekani ndani ya nchi hiyo.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Madhara ya Kunywa Pombe Wakati wa Ujauzito
Kunywa pombe wakati wa ujauzito kunaweza kusababisha madhara makubwa kwa...
Read more
OUSMANE SONKO IS APPOINTED AS A SENEGAL'S...
POPULAR NEWS SENEGAL'S NEW PRESIDENT Bassirou Diomaye Faye has appointed firebrand...
Read more
NINI CHANZO CHA UHABA WA DOLA ...
HABARI KUU BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina...
Read more
SABABU ZA KUCHEPUKA KWENYE MAHUSIANO au NDOA...
Makala Fupi Mahusiano au Ndoa hazikamiliki kwa kila kitu hata...
Read more
KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 08/07/2024
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  BODABODA WATEKETEZA GARI LA SAIBABA TANGA

Leave a Reply