0:00
MICHEZO
Kiungo Feisal Salum Fei Toto amepeleka kilio Jangwani kwa kufunga bao la ushindi kwa Azam FC waliotundika Yanga SC 2-1 kwenye muendelezo wa ligi kuu soka ya NBC Tanzania Bara.
Hiki ni kipigo cha pili kwa Yanga SC kwenye ligi kuu msimu huu wakisaliwa na alama 52 baada ya michezo 20 huku Azam FC wakipanda hadi nafasi ya pili wakifikisha alama 47 baada ya michezo 21
Nyota Feisal Salum alipoulizwa kwanini hakushangilia bao alilolifunga kwenye mchezo huo alijibu kwasababu anaiheshimu Yanga SC na anawapenda mashabiki wa timu hiyo.
Related Posts 📫
Mail Sport reported last week that the Mikel Arteta's side...
MAKALA
Imethibitika kwamba Rais wa Iran amefariki katika ajali iliyotokea...
Ghanaian defender David Oduro join the Barcelona first team today...
Nigerian rapper Olamide Adedeji has acknowledged the gratitude expressed by...