RAIS WA VIETNAM AJIUZULU KWA KUSHINDWA KUPAMBANA NA UFISADI

0:00

HABARI KUU

Rais wa Vietnam,Vo Van Thuong amewasilisha barua yake ya kujiuzulu baada ya mwaka mmoja tu Madarakani kwa shutuma za kushindwa kupambana na ufisadi nchini humo.

Hatua hiyo ya kujiuzulu kwa Rais huyo mwenye umri wa miaka 53 inakuja wakati Vietnam ikikumbwa na msukosuko mkubwa wa kisiasa ambapo mtangulizi wake pia aliondoka Madarakani baada ya kushindwa katika harakati za kupambana na ufisadi, ikishuhudiwa Mawaziri kadhaa wakifukuzwa kazi .

Vo Van Thuong aliingia Madarakani mnamo Machi 2, 2023 baada ya kujiuzulu kwa mtangulizi wake, Nguyen Xuan Phuc.

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amempa...
Mvutano mkali umeibuka bungeni leo Juni 4, 2025 kati ya...
Read more
Deadly Car Bombing Strikes Mogadishu Cafe Packed...
A car bombing at a popular cafe in Somalia's capital...
Read more
15 reasons why you should visit the...
Rich Cultural Heritage: Experience the unique cultural practices and traditions...
Read more
8 HABITS THAT WILL SOLVE OUR PROBLEMS
TIPS Goal SettingSet clear and achievable goals to provide direction and...
Read more
Challenges facing Onion Farming
Rains or Excess Watering:Too much rains or excess watering can...
Read more

Discover more from JUNIITV.ONLINE

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

See also  Nchini Korea Kaskazini kama "Birthday" yako ni tarehe 8 Julai au 17 Desemba basi huna bahati, kwani hairuhisiwi kusherehekea siku yako ya kuzaliwa.

Leave a Reply