Rais wa Nigeria Bola Tinubu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima.

0:00

Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali imekuwa na matumizi makubwa ya Fedha za Walipa Kodi yasiyo na tija, zikiwemo Safari za Mfululizo za Viongozi akiwemo Rais aliyefanya safari 15 kwenda nje ya nchi tangu alipoapishwa Mei 29, 2023.

Hii ni mara ya pili kwa Rais Tinubu kuchukua maamuzi ya kudhibiti matumizi ya Serikali ambapo Januari 2024 alitangaza kupunguza kwa 60% idadi ya Watu wanaokuwa kwenye Misafara ya Viongozi akiwemo yeye mwenyewe. Hata hivyo Tinubu hajaweka wazi kama safari zake pia zitasitishwa.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

WENYE MATATIZO YA MOYO KUKUMBWA NA MAGONJWA...
HABARI KUU Utafiti mpya wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete...
Read more
President Tinubu has approved the transition from...
Bola Tinubu, the ex-governor of Lagos State and the current...
Read more
Anti-discrimination charity Kick It Out says it...
Across all levels of English football last season, there were...
Read more
THINGS NOT TO DO IMMEDIATELY AFTER A...
LOVE TIPS ❤ 1) RUN INTO ANOTHER RELATIONSHIPDon't try to...
Read more
MLOGANZILA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ...
HABARI KUU. Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza...
Read more
See also  UKOSEFU NA UHABA WA SUKARI NA UMEME KUISHA MWEZI MACHI TANZANIA

Leave a Reply