MALAYSIA YAKATAA JUKUMU LA UENYEJI WA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

0:00

MICHEZO

Malaysia imekuwa nchi ya pili kulikataa jukumu la uenyeji wa michezo ya Jumuiya ya Madola kwa mwaka 2026.

Hali hii inayaweka mashindano hayo kwenye wasiwasi wa kufutwa kwa mara ya kwanza tangu vita kuu ya Pili ya Dunia.

Nchi hiyo ambayo ilikuwa mwenyeji wa michezo hiyo mwaka 1998 ilikubali kuchukua jukumu baada ya jimbo la Victoria, nchini Australia kuamua kujitoa Julai 2023 kwa sababu za kifedha.

Maafisa nchini humo wamesema Shirikisho la michezo ya Umoja wa Madola(CGF) limetoa fungu la pauni milioni 100 kiasi ambacho hakitoshi.

Naye Msemaji wa Serikali ya Malaysia Fahmi Fadzil amesema “tungekuwa na muda wa kutosha tungeweza kuandaa, lakini muda ni mfupi hivyo hatutoweza”.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

ANTHONY MAVUNDE AFUTA LESENI ZA WACHIMBAJI MADINI
HABARI KUU Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amemuelekeza Katibu Mtendaji...
Read more
COISAS QUE VOCÊ NÃO DEVE FAZER DURANTE...
Olhar para o tempo em que estás a fazer sexo...
Read more
Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie...
NYOTA WETU Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amezungumzia...
Read more
DON 3 KUACHILIWA BILA MKALI SHAHRUKH KHAN...
Nyota Wetu Hii ni habari kama isiyopendeza kwa mashabiki wa nguli...
Read more
Bagnaia wins thrilling Malaysian GP to keep...
SEPANG, Malaysia, 🇲🇾 - Ducati's Francesco Bagnaia kept his MotoGP...
Read more
See also  MAMBO USIYOFAHAMU KUMHUSU SALLAM SK

Leave a Reply