CHRISTOPH BAUMGARTNER AWEKA REKODI HII

0:00

NYOTA WETU

Kiungo Christoph Baumgartner wa Austria jana alifunga bao ndani ya sekunde 6 za mechi na kuvunja rekodi ya bao lililofungwa kwa haraka zaidi katika soka la Kimataifa.

Baumgartner (24) anayeichezea RB Leipzig ya Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya Austria aliifunga bao hilo wakati wa mechi ya kirafiki kati ya Austria na Slovakia Mjini Bratislava.

Juhudi za kiungo huyo zilikuwa za haraka hadi kumshinda Lukas Podolski aliyekuwa akishikilia rekodi hiyo baada ya kuifungia Ujerumani bao katika sekunde ya 7 wakati wa mechi dhidi ya Ecuador mwaka 2013.

Hata hivyo mtandao unaohusika na rekodi za dunia wa ”Guiness World Records” bado haujaweza kuthibitisha kama bao hilo ndio bao rasmi lililofungwa kwa haraka zaidi kupitia kick-off kwa kuwa mtandao huo haufiatili mabao nje ya soka la kulipwa.

Loading

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

Related Posts 📫

Dutch rider Puck Pieterse won stage four...
Pieterse finished the 122.7km ride from Valkenburg to Liege in...
Read more
France coach Deschamps' trust in Kolo Muani...
BRUSSELS, - France coach Didier Deschamps praised match-winner Randal Kolo...
Read more
Kurasa Za Mbele za Magazeti ya Leo
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu katika...
Read more
How to keep cows for dairy production.
To keep cows for dairy production, you will need to...
Read more
TYSON FURY ATANDIKWA NA OLEKSANDR USYK
MICHEZO Bondia wa Ukraine Oleksandr Usyk ameshinda pambano dhidi ya...
Read more
See also  LEBRON JAMES AWEKA REKODI YA KUWA MCHEZAJI KIKAPU MWENYE POINTI NYINGI

Leave a Reply