MWANAMKE AKIZIDI UMRI WA MIAKA 35 YUKO KWENYE HATARI YA KUTOPATA MTOTO

0:00

Mujuni Henry
Author: Mujuni Henry

JUNIITV

MAKALA

Wanasayansi wanasema, hadi umri wa miaka 35, wanawake wengi hawana matatizo na uzazi, lakini baada ya umri huo uwezekano wa kupata mimba huanza kupungua kwa kasi.

Ni kweli kwamba wanawake wengi wenye umri wa zaidi ya miaka 35 hupata ugumu wa kushika mimba na wakati mwingine wako katika hatari zaidi ya matatizo yanayohusiana na ujauzito na uzazi kuliko wanawake wenye umri wa miaka 20 hadi 35.

Hata hivyo, kupungua kwa uwezo wa kupata mimba ni mchakato wa polepole sana, sio jambo la ghafla, na mchakato huo unatofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine.

“Kuanzia umri wa miaka 35, ubora na wingi wa mayai hupungua kwa kasi,” anasema Lorraine Casavant, daktari wa uzazi na mtafiti katika Chuo cha Imperial London.

Lakini Profesa Anja Bisgaard Pinborg, mkuu wa idara ya uzazi katika kliniki ya Rigshospitalet huko Copenhagen, anasema, “wanawake wengi wana matatizo ya kupata mimba baada ya umri wa miaka 40, hata kama wanakoma hedhi wakiwa na umri wa wastani wa miaka 51.”

Related Posts 📫

12 TRUTHS ABOUT BEING NAUGHTY
If you will not be naughty with your spouse, who...
Read more
CARLO ANCELOTTI AKIRI NI VIGUMU KUMUACHA LUKA...
MICHEZO Kocha Mkuu wa Real Madrid Carlo Ancelotti amekiri ni...
Read more
Kwa takwimu hizi hela ya usajili ya...
MICHEZO Nyota wa Yanga SC, Joseph Guede ambaye alisajiliwa katika...
Read more
Former Wimbledon champion Marketa Vondrousova has undergone...
Vondrousova, who reached the U.S. Open quarter-finals last year, wrote...
Read more
TABIA 10 AMBAZO KILA MWANAUME ANAZO
LOVE TIPS ❤
See also  KIFO CHA JPM KUMG'OA MPINA CCM
1. Mwanaume ni mtu mwenye sifa kama...
Read more

Leave a Reply