0:00
HABARI KUU
Rais Javier Milei amepanga kuwafuta kazi Wafanyakazi wa Serikali 70,000 ambao Mikataba yao inatarajiwa kumalizika hivi karibuni ili kupunguza matumizi ya Serikali.
Akizungumza Machi 26, 2024 amesema amepanga kusitisha baadhi ya Miradi ya Umma na kufuta zaidi ya programu 200,000 za Ustawi wa Jamii baada ya Miradi hiyo kihusishwa na Rushwa.
Amesema
“Tumeondoa suala la Uhamisho wa kazi na pia tunaondoa Wafanyakazi 70,000 wa Umma. Miradi ya Umma ni chanzo kikuu cha wizi, wizi ambao naamini watu wema wote wanapaswa kupinga.”
Related Posts 📫
West Ham United forward Michail Antonio was involved in a...
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
Olukoyede stated this on Thursday on the occasion of 2024...
MADRID, - Real Madrid manager Carlo Ancelotti praised the 'extraordinary'...
The first speaker of the Homa Bay County Assembly, Samuel...