0:00
MICHEZO
Mbio za kuwania taji la EPL zimezidi kupamba moto baada ya Manchester City kubanwa mbavu na Arsenal na kulazimishwa suluhu tasa ya 0-0.
Matokeo hayo yametoa mwanya kwa Liverpool kuchupa hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Brighton na kufikisha alama 67 baada ya michezo 29.
Arsenal wapo katika nafasi ya pili na alama 65 huku Manchester City wakishika nafasi ya 3 na alama 64.
Related Posts 📫
Kwa mara nyingine tena Rais wa Marekani Joe Biden (81)...
Controversial influencer, Saida Boj sparks uproar online as she explains...
MAPENZI
Kuna maandalizi ya kufanya kabla ya kuingia kwenye ndoa....
MAGAZETI
Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo...
MICHEZO
Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag ametupilia...