Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Mkataba huu utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.5 kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia (2024- 2028) kwa ajili ya miradi ya miundombinu…

Continue ReadingRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoon Suk Yeol wa Jamhuri ya Korea wameshuhudia utiaji saini wa mkataba mmoja, hati za makubaliano (MOU) 2 na tamko la pamoja la kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano wa Uchumi (EPA).

Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi Juni 01, 2024 na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi, Mahusiano na Umma wa ACT Shangwe Ayo, Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na viongozi…

Continue ReadingKatibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema kuwa kinachoendelea katika Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini ambapo Chama Tawala cha ANC kimeshindwa kupata kura za kuunda serikali peke yake inapaswa kuwa somo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).