MBOWE na LISSU wasichafuliwe ,tutashindwa kuwanadi
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya Chance Mwaikambo ambaye amekuwa kiongozi katika nafasi mbalimbali, ametia nia ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ndani ya…
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya Chance Mwaikambo ambaye amekuwa kiongozi katika nafasi mbalimbali, ametia nia ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ndani ya…
Mzee Kingunge aliwahi kumwambia Mrema wakati wa Kipindi cha Kitimoto miaka hiyo kwamba " Usipong'atuka Utang'atuliwa" Mabadiliko ya uongozi wa juu katika vyama vya kidemokrasia vya upinzani ni muhimu kwa…
Wasanii wameendelea kuchangamkia fursa ya kupima moyo bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan huku wakimpongeza Rais kwa kuwapa fursa hiyo. Akizungumza…
Takriban watu watatu wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya watu wenye silaha nchini Haiti kuwashambulia waandishi wa habari, polisi, na maafisa wa afya wakati wa mkutano wa kutangaza kufunguliwa…
Maandamano makubwa yamezuka nchini Syria baada ya tukio la kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama, katika uwanja mkuu wa mji wa Suqaylabiyah, eneo linaloongozwa na Wakristo…
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kukomesha kile alichokiita "upuzi" wa watu wanaobadili jinsia zao siku ya kwanza atakapoingia madarakani. Kauli hiyo ya Trump inajiri baada ya shinikizo la…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa agizo kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi wa Kitongoji…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya…
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza rasmi kwamba atagombea tena kwa mara nyingine kwenye Uchaguzi wa Chama hicho ili kutetea kiti chake cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa akichuana na Viongozi…
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA mkoa wa Ilala, Dar es Salaam Waziri Wenyevyale ametoa rai kwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe wakati huu anaojiandaa kukutana…