WASHITAKIWA WA UBAKAJI WAKANA MASHITAKA
DODOMA WATUHUMIWA wa ukatili wa kijinsia dhidi ya msichana mkazi wa Dar es Salaam wamefikishwa kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Dodoma iliyopo Kituo…
DODOMA WATUHUMIWA wa ukatili wa kijinsia dhidi ya msichana mkazi wa Dar es Salaam wamefikishwa kwa mara ya kwanza mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Dodoma iliyopo Kituo…
Jeshi la polisi hapa nchini limekanusha kauli iliyotolewa na Aliyekuwa Kamanda wa polisi Dodoma Theopista Mallya dhidi ya binti anayedaiwa kubakwa na kulawitiwa kuwa "ni kama anajiuza". Jeshi la polisi…
Akiongea na Waandishi wa Habari wakati wakiwa wamezuiliwa, Emma Kimambo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Mkoa wa Arusha amesema hadi wakati walipokuwa wanahojiwa na Waandishi walikuwa wamezuiliwa kwa saa mbili…
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano na mikusanyiko ya aina yoyote ile ya ndani au nje inayotaka kufanyika kwa mwamvuli wa kuadhimisha siku ya vijana duniani kwa kuwa inalenga kuleta…
Mahakama ua Rufani imetupilia mbali shauri la maombi ya marejeo lilufunguliwa na mjane wa Reginald Mengi, Jacquiline Ntuyabaliwe na wanawe wawili, ambao wamekuwa wakipambana kutetea wosia unaodaiwa kuandikwa na Mengi…
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimesema kinasikitishwa na kinalaani vitendo vya kukamatwa, kutekwa na kuteswa kiholela kwa wananchi kunakoendelea nchini bila ya vyombo husika vyadola kuwajibika ipasavyo. Kupitia taarifa iliyotolewa…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Amos Lutakulemberwa Lwiza mwenye umri wa miaka 54 mkazi wa Tegeta Wazo Kinondoni kwa tuhuma za…
Mtoto Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa aliyopata baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali…
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara hapa nchini, Karoli Mganga amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178 likiwemo la kuongoza genge la uhalifu.…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya ‘Shotgun’ yenye namba za usajili C328809 bila kibali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa…