KENYA KUTOA VISA YA DUNIA
HABARI KUU. Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto amesema kuanzia Januari 2024 Kenya 🇰🇪 itakuwa nchi ya kwanza ambayo mtu yeyote kuingia nchini humo hatohitaji visa. Akizungumza leo Desemba 12,2023…
HABARI KUU. Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto amesema kuanzia Januari 2024 Kenya 🇰🇪 itakuwa nchi ya kwanza ambayo mtu yeyote kuingia nchini humo hatohitaji visa. Akizungumza leo Desemba 12,2023…
HABARI KUU. Rais wa DRCONGO ,Felix Tshisekedi ametoa kauli ya kumfananisha Rais Paul Kagame wa Rwanda na kiongozi wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hitler na kutamka "Naahidi ataishia kama Hitler…
HABARI KUU Mwaka huu unatajwa kuwa mwaka wenye joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa kulingana na huduma ya Mabadiliko ya hali ya hewa ya umoja wa Ulaya ya Copernicus . Ripoti…
HABARI KUU Nchini Burkina Faso, utawala wa mpito unaoongozwa na Ibrahim Traore umepitisha muswada wa marekebisho ya katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha zao rasmi baada…
HABARI KUU. Tume ya utumishi ya Walimu Tanzania (TSC) imemsimamisha kazi Mwalimu Maganga Japhet kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa kutekeleza maelekezo halali ya viongozi wake.…
HABARI KUU Jumla ya wagombea wanne wa urais nchini CONGO wamejiengua kwenye mchakato wa kinyang'anyiro cha kugombea urais wa CONGO na kuamua kumuunga mkono ,Gavana wa zamani wa jimbo lenye…
HABARI KUU. Kampuni ya Spotify ambayo ni watayarishaji wa mziki kutokea Sweden imetangaza kukata asilimia 17 ya wafanyakazi wake kwa lengo la kubana matumizi. Kampuni hiyo ina wafanyakazi wapatao 9,000…
HABARI KUU Kaimu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kasim Majaliwa amewahakikishia watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ni mzima wa afya na…
HABARI KUU Korea Kaskazini imetangaza kuwa inaiangalia Ikulu ya Marekani "White House " kwa karibu kutokana na setelaiti yake mpya ya kijasusi ,ambayo serikali inasema iko tayari kufanya kazi ,ingawa…
HABARI KUU Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kutokea tarehe Novemba 25,2023 ya kujiuzulu wadhifa wa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Godfrey Chongolo sasa ni za kweli baada ya barua yake…