Kwanini Joe Biden Ametangaza Kusitisha Kuwania Urais wa Marekani?
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kusitisha kampeni za kuwania muhula wa pili wa na kusema kusema amechukua uamuzi huo ''kwa maslahi ya chama chake na nchi.'' Hatua yake inakuja…
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kusitisha kampeni za kuwania muhula wa pili wa na kusema kusema amechukua uamuzi huo ''kwa maslahi ya chama chake na nchi.'' Hatua yake inakuja…
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza Machifu kutoka mikoa yote nchini kwenda kusimamia falsafa ya R4 katika utekelezaji wa majukumu yao ili kujenga misingi ya usawa, utawala bora, uwazi na uwajibikaji…
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imebaini kuwa, madai ya Mbunge wa Babati (CCM), Pauline Gekul na wenzake kudaiwa kuwafanyia vitendo vya ukatili na udhalilishaji…
Mfanyabiashara wa Ng'ombe wilayani Geita Mkoani Geita, Daniel Sayi(48), anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya Nyarugusu mkoani Geita. Inadaiwa kuwa…
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ametangaza dau la Tsh. elfu 50 kwa kila Mtu atakayempa taarifa ya sehemu ambako Wanafunzi wanachezeshwa unyago Wilayani humo akisema lengo ni kuhakikisha…
Kesi ya Jinai namba 1883/2024 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu dhidi ya Jamhuri imeendelea leo Mahakama ya Mkoa wa Mwanza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Erick Marley. Nawanda…
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshitakiwa kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania iliyopo Dar es Salaam kuhusu tukio la kuzima mtandao (internet shutdown) wakati wa uchaguzi mkuu wa…
Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja anayefahamika kama Jomaisi Khalisia (33) ambaye wanadai amekiri kuwaua wanawake 42 tangu 2022, akiwemo mkewe . Msako wa mtuhumiwa huyo ulianza baada ya mauaji…
Milio inayokisiwa kuwa risasi imesikika kwenye mkutano wa hadhara wa Donald Trump huko Pennsylvania wakati rais huyo wa zamani alipokuwa akitoa hotuba.Alikimbizwa nje ya jukwaa haraka na maafisa wa kitengo…
Mashirika ya ndege ya Mali yamesitisha safari za ndani na za kimataifa za ndege kutokana na uhaba wa mafuta. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga, Kanali Yahya Toure, amesema…