SABABU YA WAZIRI PAULINE GEKUL KUFUTWA KAZI
HABARI KUU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25,2023. Hata hivyo, kurugenzi…
HABARI KUU Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na sheria, Pauline Philipo Gekul kuanzia leo Novemba 25,2023. Hata hivyo, kurugenzi…
HABARI KUU Maofisa wa Uingereza na Uturuki watakutana kujadiliana kuhusu mfumo wa udhibiti kufuatia kifo cha Mwanamke mmoja mwaka 2019 kilichotokea katika upasuaji wa kuongeza makalio. Melissa Kerr alifariki Dunia…
HABARI KUU. Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, Bi. Rosalyn Carter (96) amefariki Dunia. Bi. Rosalyn Carter alifariki kwa amani akiwa amezungukwa na wanafamilia nyumbani kwao katika…
HABARI KUU Wizara ya sheria ya Urusi imewasilisha ombi kwa Mahakama kuu ya nchi hiyo kupiga marufuku shughuli za kile kinachoitwa "vuguvugu la kimataifa la LGBTQ " Kama lenye itikadi…
HABARI KUU Taarifa kutokea ofisi ya Rais wa Austria 🇦🇹 imesema hali ya Rais Alexander van Der Bellen inaendelea vizuri baada ya kung'atwa na mbwa wa Rais wa Moldova 🇲🇩…
HABARI KUU. Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Lohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 oktoba hadi Oktoba 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu…
HABARI KUU Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho ya Ukatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kuendana . Barua hiyo iliotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatican ilinukuu…
HABARI KUU. Mwanaharakati wa Chama cha upinzani cha Citizens Coalition for change (CCC) kutoka Zimbabwe aliyeteka nyara jumamosi iliyopita,amekutwa akiwa amefariki. Msemaji wa Chama cha CCC Promise Mkwananzi ameelezea kuwa…
HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas iliyolenga hospitali moja kwa moja ya Al shifa mjini Gaza . Jeshi hilo limetaka kujisalimisha kwa watu linalowaita magaida. Mtu…
HABARI Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za kulevya, Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya wasanii wanaotumia na wale wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya nchini na…