MBWA WA RAIS AMG’ATA RAIS
HABARI KUU Taarifa kutokea ofisi ya Rais wa Austria 🇦🇹 imesema hali ya Rais Alexander van Der Bellen inaendelea vizuri baada ya kung'atwa na mbwa wa Rais wa Moldova 🇲🇩…
HABARI KUU Taarifa kutokea ofisi ya Rais wa Austria 🇦🇹 imesema hali ya Rais Alexander van Der Bellen inaendelea vizuri baada ya kung'atwa na mbwa wa Rais wa Moldova 🇲🇩…
HABARI KUU. Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Lohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 oktoba hadi Oktoba 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu…
HABARI KUU Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis, umesema mafundisho ya Ukatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kuendana . Barua hiyo iliotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatican ilinukuu…
HABARI KUU. Mwanaharakati wa Chama cha upinzani cha Citizens Coalition for change (CCC) kutoka Zimbabwe aliyeteka nyara jumamosi iliyopita,amekutwa akiwa amefariki. Msemaji wa Chama cha CCC Promise Mkwananzi ameelezea kuwa…
HABARI KUU. Jeshi la Israel limefanya operesheni dhidi ya Hamas iliyolenga hospitali moja kwa moja ya Al shifa mjini Gaza . Jeshi hilo limetaka kujisalimisha kwa watu linalowaita magaida. Mtu…
HABARI Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya kupambana na kudhibiti Dawa za kulevya, Aretas Lymo amesema wanayo orodha ya wasanii wanaotumia na wale wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya nchini na…
HABARI KUU. Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa,ofisi ya mafundisho ya Vatican ilisema Jumatano ,ikijibu maswali kutoka kwa…
HABARI KUU Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameanzisha safari zisizohitaji visa kwa Waafrika wote ,na kuifanya Rwanda kuwa nchi ya 4 barani Afrika kufanya hivyo. "Pia tumeondoa vizuizi vya visa…
HABARI KUU. Kutokana na kile ambacho tunaweza kuangalia ni kwamba, Waisrael, ambao walikuwa wameanza uvamizi wa Gaza Polepole ,hivi sasa wameanza kupinga hatua kubwa. Wanajeshi wao 17 wameuawa katika vita,na…
HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanzisha operesheni maalum ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza vyuoni. Pia, wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwenye kumbi za starehe…