ZIARA YA MFALME KENYA YAIBUA MAZITO
HABARI KUU. Wazee wa jamii ya Nandi nchini Kenya wametoa wito kwa kurudisha fuvu la Koitalel Arap Samoei ,chifu pamoja na kiongozi wa kiroho na kijeshi aliyeuawa na Waingereza mwaka…
HABARI KUU. Wazee wa jamii ya Nandi nchini Kenya wametoa wito kwa kurudisha fuvu la Koitalel Arap Samoei ,chifu pamoja na kiongozi wa kiroho na kijeshi aliyeuawa na Waingereza mwaka…
HABARI KUU Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Instagram, amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan kujihadhari na wapambe na machawa.…
HABARI KUU Waziri Mkuu wa Iceland Katrin Jakobsdottir ,leo anaungana na maelfu ya wanawake kuandamana kudai malipo sawa pamoja na kupinga ukatili wa kijinsia. Maandamano hayo yanalenga kuongeza ufahamu juu…
HABARI KUU Mamlaka ya Uchina inachunguza baada ya video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha mfanyakazi kutoka Tsingtao akikojoa kwenye tanki ,linaloaminika kuwa na viambato vya bia. Klipu hiyo iliyotazamwa na mamilioni ya…
HABARI KUU Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliokutana hivi leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma,katika kikao chake maalumu, chini ya Mwenyekiti wa CCM ,ndg Dkt. SAMIA SULUHU…
HABARI KUU
Kumekuwa na sintofahamu nchini Kenya baada ya Rais wa Angola Joâo Lourenćo kutokuhudhuria sherehe za Mashujaa Day Nchini Kenya kama ilivyotarajiwa licha ya kuwasili nchini humo.
Mtandao wa “Daily Nation ” umeripotiwa kuwa Waziri Mkuu, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya,Musalia Mudavadi ,wakati akimpokea mgeni huyo aliyeambatana na mkewe Ana Dias Lourenço,alidokeza kuwa ndiye aliyealikwa kuwa mgeni wa heshima katika sherehe hizo.
Rais huyo wa Angola 🇦🇴 aliwasili Kenya siku ya Alhamisi ambapo ilitarajiwa afike Kericho ambako ndiko sherehe hizo zilifanyika kitaifa, huku akitarajiwa kuwa mgeni wa heshima kwa mujibu wa mawasiliano rasmi kati ya Kenya na Angola 🇦🇴.
Hata hivyo jana Ijumaa Oktoba 20,2023 katika programu rasmi ya “Mashujaa Day ” haikuorodhesha uwepo wa Rais Lourenço kama mgeni rasmi ,badala yake aliwakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Angola Balozi António Tete.
Katika hotuba yake ,Balozi António Tete amesema kutokuwepo kwa Rais Lourenço kumetokana na “sababu zisizotarajiwa” na hivyo kuwaomba radhi Wakenya kwa niaba ya Rais wake.
“Kwa niaba ya Rais Joáo Lourenço kwanza ningependa kuomba radhi kwa kutokuhudhuria sherehe hizi. Angependa kuwa pamoja nanyi lakini kwasababu ya sababu zisizotarajiwa, hakufika Kericho
“Hata hivyo,anawatakia kheri mnaposheherekea siku hii ya leo muhimu, pia anawashukru kwa mapokezi mnayotupa tunapokuja Kenya 🇰🇪 “
Amesema balozi Tete
Katika hotuba yake wakati wa sherehe hizo, Rais William Ruto amesema kuwa Rais Lourenço bado yuko nchini humo na kwamba atakuwa na ziara ya kiserikali leo jumamosi.
“Tunapozungumza sasa, Rais Joáo Lourenço wa Angola bado yuko Kenya 🇰🇪, na atakaribishwa katika ziara ya kikazi kuanzia kesho jumamosi “.
Amesema Rais William Ruto.
(more…)HABARI KUU Kiongozi wa kanisa katoliki Duniani, Papa Francisco amewateuwa mapadri wawili kuwa maaskofu kwenye majimbo mawili ya kikatoliki ya Njombe na Bukoba. EUSEBIO KYANDO Maaskofu hao wateule ni pamoja…
HABARI KUU
Muungano wa vyama vya kiraia katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 umefanya maandamano mjini Goma ukitaka kikosi cha pamoja cha Afrika Mashariki kuondoka Mashariki mwa nchi hiyo kutokana na kushindwa kukabiliana na waasi wa M23.
Mwezi Novemba mwaka jana, Kenya 🇰🇪, Burundi 🇧🇮, Uganda 🇺🇬, na South Sudan 🇸🇸 zilituma wanajeshi wake DRC ,chini ya bendera ya jeshi la kikanda la Jumuiya Ya Afrika Mashariki (EACRF) ,kujaribu kulipokonya silaha kundi hilo la waasi na kuleta amani.
(more…)HABARI KUU Wafanyabiashara wa soko la simu 2000 lililopo halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ,Dar es salaam mapema leo,Alhamisi Oktoba 19,2023 wameandamana sambamba na kufunga barabara wakishinikiza mamlaka za serikali…
HABARI KUU.
Rais Joe Biden wa Marekani na Abdel Fattah al-Sisi wa Misri wamekubali kufungua kivuko cha Rafah ili kuruhusu hadi lori 20 za misaada kuingia Gaza.
(more…)