UGANDA YAJA NA MPANGO WA CCTV CAMERA KUWABAINI MAGAIDI
Habari Kuu Jeshi la polisi nchini Uganda limeongeza juhudi za kupambana na magaidi nchini humo kwa kuanzisha zoezi la ukaguzi wa majumba ya serikali na watu binafsi kuona Kamera za…
Habari Kuu Jeshi la polisi nchini Uganda limeongeza juhudi za kupambana na magaidi nchini humo kwa kuanzisha zoezi la ukaguzi wa majumba ya serikali na watu binafsi kuona Kamera za…
Habari Kuu Ripoti kutoka Burkina Faso zinasema kuwa jeshi limewaua idadi isiojulikana ya wapiganaji wa Kiislamu baada ya kushambulia eneo la wanajeshi katika eneo la kati-kaskazini. Haya yanajiri huku maafisa…
Habari Kuu. Kampuni ya Apple ,hapo jana Septemba 12,2023 ilizindua toleo jipya la simu zake za iPhone 15 Pro na iPhone 15 Pro max ambazo zimeboreshwa vitu mbalimbali na kuzifanya…
Habari Kuu Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amewasili nchini Urusi kwa ziara ya nadra nje ya nchi siku moja baada ya mataifa hayo mawili kudhibitisha uvumi kuwa Kim atakutana na…
Habari Kuu. Rwanda iliamua kwamba inashikilia uamuzi wa kusimamisha kesi ya Felicien Kabuga kwa muda usiojulikana na kwamba ataachiliwa kwa muda na kuweka masharti ya kile kitakachofanyika. Mwezi Machi mwaka…
Habari Kuu Kwa karibu mwezi mzima ,kituo cha E kinachorusha matangazo yake kwa radio, TV na mitandao ya kijamii kimekuwa na kampeini ya "Hii Huijui" lengo likiwa ni kuvuta hisia…
Habari Kuu Waziri wa Fedha ,Dkt .Mwigulu Nchemba ,ameiomba Benki Ya Dunia kuharakisha upatikanaji wa Dola za Marekani zaidi ya Milioni 500 ifikapo Novemba 2023 ili zisaidie kukabiliana na uhaba…
Habari Kuu. Serikali ya India chini ya Waziri Mkuu Narendra Modi imebadilisha jina la India na kuipa Nchi hiyo jina la "Bharat" katika kadi za mialiko ya chakula cha jioni…
Dar es salaam Waziri wa Kilimo wa Tanzania Hussein Bashe amesema sio kweli kwamba zao la Vanilla linauzwa kwa kilo Tsh .mil 1.5 ambapo amesema taarifa hizo ni za uongo…
Gabon Katika hali isio ya kutegemewa,majeshi ya Gabon yamefanikiwa kumwangusha Ali Odhimba Bongo Rais wa nchi hiyo ambaye ametawala tokea 2009 mpaka leo. ALI BONGO mtoto wa Kanali Omar Bongo…