Je Mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa Kunywa Pombe?
Matumizi ya Pombe na Kisukari Matumizi ya pombe yana athari nyingi kwa wagonjwa wa kisukari. Ni muhimu kushauriana na daktari kabla ya kunywa pombe kutokana na sababu zifuatazo: 🌟 Hypoglycemia…
Matumizi ya Pombe na Kisukari Matumizi ya pombe yana athari nyingi kwa wagonjwa wa kisukari. Ni muhimu kushauriana na daktari kabla ya kunywa pombe kutokana na sababu zifuatazo: 🌟 Hypoglycemia…
MAANA YA TEZI DUME: Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo. Tezi dume sio ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. TEZI…
Ugonjwa wa bawasiri na chanzo chake: Bawasiri, au haemorrhoids kama inavyojulikana kwa lugha ya kiingereza, ni hali inayotokea pale mishipa ya damu inayozunguka anus inapojaa au kuvimba. Hali hii husababisha…
U.T.I ni nini? U.T.I(Urinary Tract Infection) kwa wanawake ni maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa wanawake ambao huhusisha figo (kidney), kibofu cha mkojo (urinary bladder), mrija wa mkojo kutoka kwenye…
Hamu ya tendo la ndoa, inayojulikana kama libido, ni hali ya kihisia inayowafanya watu wawe na tamaa au hamu ya kushiriki katika tendo la ndoa. Hamu ya tendo la ndoa…
Ute ukeni hutofautiana kwa rangi, muonekano, na harufu kulingana na mzunguko wa hedhi, afya ya kijinsia, na mabadiliko ya homoni.Aina za ute ukeni zinaweza kutoa viashiria kuhusu afya ya kijinsia…
KIFAFA CHA MIMBA NI NINI? Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza. Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu…
Kulingana na data za Shirika la Afya Duniani na Chama cha Moyo cha Marekani imeonekana kwamba watu wenye kisukari huwa na hatari kubwa ya kuwa na magonjwa ya figo ya…
🌟 Ukweli ni kwamba, Kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha kumekuwa na ongezeko la ugonjwa wa kisukari kati ya watoto ambao awali ulikuwa ukionekana kwa watu wazima, Shirika la…
🌟 Kisukari na Athari za Mitindo ya Maisha Isiyofaa 🌟 Shirika la Afya Duniani limeonyesha kuwa kisukari ni sababu kuu ya upofu, kushindwa kufanya kazi kwa figo, mshtuko wa moyo,…