MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUMKOSOA MPENZI WAKO
MAPENZI 1. Sio jambo jema kumkosoa mpenzi wako mbele ya watu. Kufanya hivi ni kumfanya mwenza wako aone kama umemdhalilisha. 2. Unapotaka kumkosoa mpenzi wako ongea kwa sauti ya upole.…
MAPENZI 1. Sio jambo jema kumkosoa mpenzi wako mbele ya watu. Kufanya hivi ni kumfanya mwenza wako aone kama umemdhalilisha. 2. Unapotaka kumkosoa mpenzi wako ongea kwa sauti ya upole.…
MAPENZI Wanandoa wengi au waliopo kwenye mahusiano huwa wanashindwa kumaliza mambo bila ya kugombana, ni vigumu mno lakini kuna njia nyingi za kutatua au kumaliza mambo bila ya ugomvi. 1.…
MAPENZI 1. Acha kujiuliza mambo mengi yasiyo na maana. 2. Omba msamaha. Kuomba msamaha sio ujinga ni kujishusha na kutaka maisha yaendelee kama awali. 3. Achana na mambo ya kujizeesha.…
MAPENZI 1. Furaha ya Nitakuoa muda sio mrefu. Mwanaume ataweka shinikizo kwamba ukimpa basi atafanya haraka kukuoa kinyume na hapo hawezi kukuoa. 2. UKINIPA NITAAMINI KWELI UNANIPENDA. Kujamiana kabla ya…
MAPENZI 1. HAJASHAWISHIKA KWAMBA WEWE NDIYE. Unapoingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza ni ngumu sana kwa mwanaume kuamini kwamba wewe ni mtu sahihi kwake mpaka pale mtapokaa ,ukampa sababu…
MAPENZI 1. Wazazi kulala kwenye vitanda tofauti au vyumba tofauti kwenye nyumba moja. Ni kitisho kwa watoto. 2.Wazazi kuongea kauli zisizofaa au kutukanana mbele ya watoto. Watoto watashindwa kuwaheshimu. 3.…
MAPENZI Migogoro ni sehemu ya maisha kwa wanandoa au waliopo kwenye mahusiano na mgogoro unakuja kwa ajili ya kujenga au kubomoa mahusiano. Pamoja na mambo mengine, migogoro haitakiwi kuwa sehemu…
MAPENZI Kila mtu anapenda kuwa kwenye mahusiano au ndoa kwa muda mrefu lakini hali za kimaisha ndio huwa ni mwamuzi wa watu kutengana. Sasa ni kipi kifanyike? 1. KUAMINIANA. Usiwe…
1. Shutuma kwa mwenza wako,lawama ,kumsingizia makosa ambayo hajatenda na mambo mengine kama hayo. 2. Kuwa mtu wa kujilinda na asiyetaka kushauriwa kwa lolote na ikitokea ukashauriwa unaona kama unavunjiwa…
MAPENZI Mapenzi sio mwonekano au kipato bali Mapenzi yako kwenye 1. MAWAZO. Ukiacha kipato,urembo, dini na elimu ,sehemu nzuri ya kumpata mtu wako sahihi kwenye maisha yako ni namna anavyowaza…